Aliewahi kua mpiga gita mahiri kwenye Band ya msani wa East Africa KIDUM ,Yvan Kwizera ameachinga wimbo wake mpya wenye fashion ya kipekee uitwao ''AFRIKA HASARA''.
Kwasasa Yvan Kwizera yupo kwenye Band nyingine iitwayo ''Moutcho''.
Isikilize na Upakue hapa : Afrika hasara yesteryear Yvan Kwizera