Download Mp3 from African

NATASHA ANATARAJIA KUCHIA KIBAO KIPYA CHA KUWASIFU WAKINA MAMA WOTE BARANI AFRIKA.

Baada ya kufanya vizuri na kibao chake ''Shikilia'' kilicho rikodiwa ndani za studio za Wasafi Record na Producer Lizer Classic na video ikaongozwa na Director Pablo ,Natacha sasa anatarajia kuachia kibao kipya kiitwacho ''ABARUNDIKAZI''.

Kwenye kibao hicho Natacha anawasifu wa kina Mama wote wa Republic of Burundi na wa ki Afrika kiujumla.
Ngoma hiyo itaongozwa na Producer Aaron NTUNGA ndani za Studio za Afro Music nchini Burundi.
Endelea kufatilia tovuti zetu za africanmishe.com zitakujuza zaidi kuhusu Natacha ambae ndoto zake nikuona muziki wa Republic of Burundi umevuka boda kimataifa zaidi.

Back To Top