MHOLANZI Jaap Stam atarejea Manchester United mwezi ujao baada ya klabu yake, Reading kupangwa kuwafuata Mashetani hao Wekundu Uwanja wa Old Trafford katika Raundi ya Tatu ya Kombe la FA, England.Stam alikuwa shujaa wa safu ya ulinzi katika miaka yake mitatu ya kuchezea United, mwaka 1999 ukiwa wa kukumbukwa zaidi baada ya kushinda mataji matatu kabla ya kuuzwa Lazio kufuatia kutofautiana na Sir Alex Ferguson aliyekuwa kocha wa timu hiyo wakati huo.Lakini baadaye, kocha Ferguson alikiri alifanya kosa kubwa kumuacha mchezaji huyo.
RATIBA KAMILI YA RAUNDI YA TATU KOMBE LA FA
Ipswich vs Lincoln
Barrow vs Rochdale
Manchester United vs Reading
Hull vs Swansea
Sunderland vs Burnley
QPR vs Blackburn
Millwall vs Bournemouth
West Ham vs Manchester City
Brighton vs MK Dons or Charlton
Blackpool vs Barnsley
Wigan vs Nottingham Forest
Birmingham vs Newcastle
Chelsea vs Peterborough or Notts County
Middlesbrough vs Sheffield Wednesday
West Brom vs Derby
Everton vs Leicester
Wycombe vs Northampton or Stourbridge
Watford vs Burton Albion
Preston vs Arsenal
Cardiff vs Fulham
Stoke vs Wolves
Cambridge vs Leeds
Bristol City vs Fleetwood or Shrewsbury
Huddersfield vs Port Vale
Tottenham vs Aston Villa
Brentford vs Halifax as well as Eastleigh
Bolton vs Crystal Palace
Norwich vs Southampton
Sutton United vs Wimbledon
Accrington Stanley vs Luton
Rotherham vs Oxford or Macclesfield
Liverpool vs Newport or Plymouth
RATIBA KAMILI YA RAUNDI YA TATU KOMBE LA FA
Ipswich vs Lincoln
Barrow vs Rochdale
Manchester United vs Reading
Hull vs Swansea
Sunderland vs Burnley
QPR vs Blackburn
Millwall vs Bournemouth
West Ham vs Manchester City
Brighton vs MK Dons or Charlton
Blackpool vs Barnsley
Wigan vs Nottingham Forest
Birmingham vs Newcastle
Chelsea vs Peterborough or Notts County
Middlesbrough vs Sheffield Wednesday
West Brom vs Derby
Everton vs Leicester
Wycombe vs Northampton or Stourbridge
Watford vs Burton Albion
Preston vs Arsenal
Cardiff vs Fulham
Stoke vs Wolves
Cambridge vs Leeds
Bristol City vs Fleetwood or Shrewsbury
Huddersfield vs Port Vale
Tottenham vs Aston Villa
Brentford vs Halifax as well as Eastleigh
Bolton vs Crystal Palace
Norwich vs Southampton
Sutton United vs Wimbledon
Accrington Stanley vs Luton
Rotherham vs Oxford or Macclesfield
Liverpool vs Newport or Plymouth
Tag :
lainnya
