Wananchi wa kijiji cha Emirete kikichoko Kata ya Monduli Juu wilayan Monduli Mkoani Arusha wamezuia msafara wa Waziri mkuu kwa kufunga barabara wakimuomba awatatulie mgogoro wa Ardhi unawakabili kwa muda mrefu ambao licha ya kuwasababishia umaskini umekuwa ukihatarisha maisha yao.
Mh Majaliwa alikutana na tukio hilo alipokuwa anatoka kuitembelea familia ya aliyekuwa Waziri mkuu wa awamu ya kwanza Hayati Edward Moringe Sokoine na baada ya kuwasikikiza wananchi hao aliagiza idara zinazohusika kuitolea maamuzi migogoro yote ya Ardhi inayowasumbua wananchi na kuwapotezea muda kufanya kazi za uzalishaji ikiwemo inayohusisha mashamba makubwa yaliyokuwa yanamilikiwa na wawekezaji,taasisi na makampuni.
Katika hatua nyingine Waziri mkuu ametengua umiliki wa shamba la mifugo la Manyara Ranchi lilikuwa linamilikiwa na taasisi ya TLCT na kwa sasa litamilikiwa na wananchi wa vijiji vya Esilaley na Oltuka chini ya usimamizi wa Halmashauri na pia ameagiza eneo la shule ya Sekondari ya makuyuni lirudishwe serikalini na litatumika kwa shughuli za mafunzo ya jeshi la kujenga.
Akiwa katika wilaya hiyo Mh Majaliwa ametembelea na kuzindua hosipitali ya Wilaya ya Monduli,shule ya Msingi Loibon na kufanya mkutano wa hadhara katika mji wa mto wa Mbu ambapo Wananchi na viongozi walimweleza Kero mbalimbali na wakati anazitolea maelezo akawaeleza wananchi kuwa serikali imetenga trillion mbili kumaliza tatizo la huduma za afya na umeme na tayari zaidi ya Bilioni thirty zimeshaanza kutumika kununua sawa na mabilioni mengine yamepelekwa kwenye miradi ya umeme vijijini.
Kuhusu tatizo la wanafunzi kukatishwa masomo Mh Majaliwa amesema serikaliimeongeza makali ya adhabu ya kukabiliana na tatizo hilo ambapo kuanzia sasa wazazi wa watoto watakaokaatishwa masomo pia wataadhibiwa.
Mh Waziri mkuu ambaye pia amezungumza na watumishi wa wilaya hiyo na kuendelea kusisitiza uwajibikaji na uadilifu anaendelea na ziara yake wilayani Karatu.

Tag :
lainnya