Wabunge nchini Republic of Burundi wamepiga kura kujitoa katika mahakama ya kimataifa ya jinai ICC, na kushinikiza uamuzi wa baraza la mawaziri wiki iliopita wa kukatiza ushirikiano na mahakama hiyo iliopo The Hague-Uholanzi.
Ghasia za kisiasa zilianza Apr 2015 baada ya rais Pierre Nkurunzinza kuanza azma yake ya kuhudumu kwa muhula wa tatu.
Tangu hapo zaidi ya watu 400 wameuawa katika ghasi hizo na zaidi ya watu 200,000 wameyakimbia makaazi yao.
Tag :
lainnya