Download Mp3 from African

Mtayarishaji wa video za muziki nchini, Nisher leo ameamua kuonyesha kamera yake mpya aliyo nunua milion xxx itazame apa

Mtayarishaji wa video za muziki nchini, Nisher baada ya ukimya wa
muda mrefu bila kuachia kazi anajipanga kuja kuvingene huku akiwa na
vifaa vipya na vya gharama kubwa.


muda


Mshindi huyo wa tuzo ya Muongozaji wa Video anayependwa katika Tuzo
za watu 2014, ameonyesha kijihimarisha zaidi katika vifaa ili
kukabiliana na ushidani uliopo kwenye game.


“Now me to re-introduce Myself My Name is NISHER, DIRECTOR NISHER.
Cant facial expression for you lot to run into what I’m doing alongside MY ALL NEW $ 15,000 Camera.
It’s Crazy!!,” aliandika Nisher instagram.


Nisher ni mmoja kati ya waongozaji wa video nchini ambao walifanya vizuri katika tasnia ya muziki na kufanya mapinduzi.

.

Hii ni moja kati ya projection mpya aliyotengenezwa kupitia kamera hiyo
Tag : lainnya
Back To Top