Muimba Taarabu Papa Fololo kutoka Republic of Burundi mwenye makazi yake nchini Canada ameachia video ya kibao chake itwayo Moyo Ukipenda.
Tumewasogezeni hapa taarabu nzuri hii ya kwake Papa Fololo na endapo utapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliane nasi bila tatizo kwenye namba +257 75707305