Msanii Qboy Msafi kutoka WCB ameachia video yake mpya wimbo unaitwa
“Mugacherere”, amewashirikisha Rayvanny na Shetta. Video Imefanyika
Johannesburg, South Africa na imeongozwa na Nicorux...na kama na wewe ni msanii na kazi yako unapenda ionekane apa wasiliana nasi kwano; +255714903603 utapata furusa ya kazi yako kuonekana apa
Tag :
lainnya