Ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove. “Inshallah tuombe Mungu na ntakuja kuwaprove kwa hii ngoma ambayo inakuja, ntakuja kuiachia,” amesema.
“Ni ngoma ambayo kubwa sana, ni ngoma ambayo inaweza ikapenetrate Afrika nzima, Nigeria, South Africa, Angola, Senegal, Marekani tutafika kote huko,” ameongeza.
Tag :
lainnya