Muigizaji Haji Jumbe, ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika tamthilia ya Siri za Familia inayorushwa na EATV amefariki Jumatatu jioni katika Hospitali ya Kinondoni kwa MD Mvungi. Siku chache zilizopita alikuwa anasumbuliwa na tumbo.
Mazishi yanatarajia kufanyika Jumanne saa nine Alasiri, huko Bagamoyo, Pwani.
Marehemu Haji Jumbe kwa jina la usanii Mr. Benson akiwa na familia yake mke wake Linda na Mtoto wake Alex katika igizo la Tamthilia ya SIRI ZA FAMILIA
Tag :
lainnya