Baada ya Alikiba kudai alifanyiwa ‘figisu’ kwenye tamasha la Mombasa
Rocks Music [Festival] lililofanyika weekend iliyopita huku akimtuhumu
meneja wa Diamond, Sallam kuhusika, Sallam amefunguka na kuzungumzia
tuhuma hizo pamoja na kilichompeleka katika tamasha hilo.tazama apa video ya maojiano na akitolea ufafanuzi izo stuma za yeye kuhusika kumzimia ali kiba mic