Siku za nyuma msanii Gaaga Blue amewahi kutangaza kuwa yupo kwenye usiano wamapenzi na mwanamuziki wa kike mrembo Ashley Diva mwenye makazi yake nchini Kenya.
Baada ya picha kadhaa kuzagazwa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonesha wasani hawo ishara ya mapenzi kati yao, kwasasa Ashley Diva amerudi nchini Republic of Burundi inasemekana wawili hawo hawapo tena na usiano mzuri.
Kwenye uzinduzi wa video clip ya nyimbo yake Mambo ambayo ameiachia siku chache, Gaaga Blue amesema kauli ambayo imetafsiriwa na imeonekana ikimulenga mpenzi wake uyo wazamani, Ashley Diva.
"katika dunia kuna mambo mengi na hakuna kitu kinauma sana kama mapenzi, izi siku wasichana wengi hawapo poa ni matapeli tu wanakupenda wakati unakitu fulani baadae wanakuona kama takataka na wengine wanatafuta kiki ili wafanikishe lengo yao. ndio maana niko zangu hivi nazidi kuchapa kazi ninaimani wataipenda tu".Alisema Gaaga Blue
Alipo ulizwa kama kuna mrembo tayari amemuhumiza kimapenzi mpaka katowa kaumi ilo, Gaaga Blue ameongeza nakusema kuwa baadhi ya watu wanajua siku za nyuma nilikua natoka na nani ila kwasasa hatuna usiano naye tena.
Bila shaka usiano kati ya msanii Gaaga Blue na Ashley Diva haupo tena baada ya kusikia kauli ya muusika na wengi wanapenda kujua tatizo ya usiano wao kuvunjika, itaendelea...