Mchezaji wa zamani wa Toto Africans ya Mwanza, Kagera Sugar ya Bukoba, Yanga SC, Azam FC na Simba za Dar es Salaam, na kiuongo wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Fanja ya Oman.Ngassa anajiunga na wawakilishi hao wa Sultanate of Oman kwenye Ligi ya Mabingwa ya Asia, baada kama ya wiki tatu tangu avunje mkataba na klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini.
Tag :
lainnya