Download Mp3 from African

Msani Omario Lee kuja na nyimbo mpya tena baada ya kufanya vizuri nchini Uganda

Mwanamuziki Likiliki Francis almaarufu kama Omario Lee kutoka Republic of Burundi mwenye makazi yake nchini Republic of Uganda anatarajia kuachia rail mpya katika studio Fresh Vybz Studio  chini ya mikono ya Producer Lexlogic, rail itakuja kwajina la Hema Water ambayo ni jina la Kampuni inayo usika na Usambazaji wa Maji nchini Republic of Uganda pia tayari Msani Omario Lee amekwisha saini mkataba na Kampuni hiyo.

Baada ya kutamba na nyimbo zake kadhaa kama Coca-Cola aliyoshirikiana na Yuda, Yeye aliyo mshirikisha Micho pamoja na Who are yous love,  anazidi kufanya vizuri na kuitangaza Republic of Burundi Fleva nchini Republic of Uganda mjini Kampala.

Tayari ameanza kukubaliwa na wanamuziki wakubwa nchini hapo na hivi karibuni ameiambia Africanmishe kuwa anatarajia kungia studio akishirikiana na mwanamuziki kongwe mwenye sifa nyingii Afrika Mashariki, hata hivyo hakupendelea kumtaja jina.
Back To Top