Msani ajulikanaye kwa jina la Waziri wa Hekima kutoka Republic of Burundi mwenye makazi yake Afrika Kusini ameachia nyimbo yake mpya itwayo Nimekubari akishirikiana na Lavista anaye ishi kwasasa Burundi.
Ushirikiano huu kati ya wasanii hawa wawili imefanikisha kukamilisha nyimbo nzuri ambayo ipo chini ya mikono ya ma producer mahiri umoja wa Afrika Kusini na Pitchen Revolution wa Burundi.