Mwanamitindo wa Uingereza ambaye pia ni mke wa mchezaji wa zamani timu ya taifa ya nchi hiyo, David Beckham, Victoria, Alhamisi hii alifanya ziara nchini Republic of Kenya kwa ajili ya kujionea jinsi kampeni inayoendelea ya Beyond Zero inavyofanya kazi.
![Mwanamitindo](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_uwoUhF8DblXQ9h1nhe7sE8NIHqgRJehjpWXG50rW0npPcR3ZVY8JEZzDJH6nWhD7kxXhAlYObIp2lWFNHYLRIfL5HCIfT9OOO3EI0Lqcu6WQA5aunFdFhJqvQz0ZQXKb86yafqT4YU5hJ5L66Ba3O4Ybv4w7gOmOpH0z0wxzeU=s0-d)
Muimbaji huyo wa zamani wa kundi la Spice Girls ametembelea nchi ya Republic of Kenya akiwa kama balozi wa shirika la UNAIDS na ameambatana na mwanae wa kwanza Brooklyn Beckham kwenye ziara hiyo. Kwenye ziara hiyo ya Victoria amekutana na muasisi wa kampeni ya Beyond Zero ambaye ni mke wa Rais wa Kenya, Mama Margaret Kenyatta.
![Mwanamitindo](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tluTxaw2zvJWgLMDYAc1IZ8sTrF_3oc_1EUpVc9-o-XH2mgWA1krq0nUQH6EufoF_GZysseS_MGHavz2fytXLS74RuT7Ve_-vnL0XJ5wqxBnN87qWTcO8dy5SO1hwrsq6VBjGtI83EcXURsEG2bfmZsE1Mpf6GqjRP4I84b967jzGrrXJuSoNPCrbWtclQqLCZGUyptQeVTAV-mwATsQaUlVlnUyA=s0-d)
“Thank y'all Olivia Ranguma The First Lady of Kisumu for introducing me to the inspiring mothers together with children of Kisumu,” ameandika mwanamitindo huyo kwenye moja ya picha aliyoiweka kwenye mtandao wake wa Instagram.
Victoria ametembelea baadhi ya maendeo ya nchi hiyo likiwemo eneo la Kisumu na amekuwa ni staa wa pili duniani kutembelea nchi hiyo kwa mwaka huu kujionea mradi wa Beyond Zero baada ya Madonna aliyefanya hivyo mwezi Julai, mwaka huu. Tazama picha zaidi hapa chini.

Tag :
lainnya