Download Mp3 from African

Video: Joka kubwa (Anaconda) lenye futi 33 lanaswa Brazil

Joka kubwa lenye urefu wa futi 33 limegundulika kwenye eneo la ujenzi huko kaskazini mwa Brazil.


limegundulika


Joka hilo lenye uzito wa kilo 400 lilipatikana baada ya wajenzi kulipia baruti katika pango lililopo Altamira, ParĂ¡.

Tag : lainnya
Back To Top