Download Mp3 from African

Video: Walimu Warekodiwa Wakimfanyia Ukatili Wa Kutisha Mwanafunzi



Video
hii ambayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii kuanzia leo alfajiri
inawaonyesha walimu wakichangia kumpiga mwanafunzi mmoja ndani ya ofisi.

Walimu
hawa wanaonekana si tu wanampiga mwanafunzi huyo kwa viboko, bali
wengine wanampiga makofi ya uso, huku walimu wengine wakiwasihi wamuache
mwanafunzi huyo kwani wanaweza kumuumiza.
Inadawa shule hii ni Mbeya Day, iliyopo jijini Mbeya
Tag : lainnya
Back To Top