Download Mp3 from African

Loveb Yuda kuimba na Baudeni baada ya ukimya wa mda mrefu


Msanii Loveb Yuda kutoka Republic of Burundi mwenye makazi yake nchini Republic of Uganda anatarajia kuachia ngoma yake mpya akishirikiana na Baudeni Sina deni kutoka katika kundi la Kiroberi.

Baudeni baada ya kufanya vizuri nchini alijielekeza nchini Republic of Uganda kikazi zaidi na kwasasa amerudi tena studio kwa mara nyingine tena.
Wakali hawo wawili wanatarajia kuachi bonge la ngoma itakayo kuja kwajina la Katono pande za African Studio On Beats nchini Uganda.

Tuwakumbushe kuwa Dr Loveb Yuda alihifungukia africanmishe kuwa mashabiki wasubiri mambo mazuri kutoka kwake mwishoni mwa mwaka na mwaka wa 2017 itakuwa ni mwaka wa mabadiliko kwa kugonga nyoyo za mashabiki zawo huku akisisitiza kuwa ngoma la Katono itapatikana kwenye mishe mishe baada ya wiki moja tu.
Back To Top