Mtangazaji Dullah wa Planet Bongo na mkewe leo wamejaliwa kupata mapacha wawili wakike. Ameomba watazamaji wake mumsaidie kumchagulia majina mazuri ya wanawe.na squad zima ya mishemishe media inamtakia heri na baraka kwa kupata watoto mungu awabariki
Tag :
lainnya