Download Mp3 from African

Mtoto wa Diamond Platnumz Princess Tiffah afikisha followers milioni i Instagram

Hakuna ubishi kuwa Princess Tiffah ndiye mtoto maarufu zaidi Afrika kwa sasa. Umaarufu wake unazidi kuongozeka kiasi ambacho wiki hii amefikisha followers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.

Umaarufu huo hajahangaika hata kuutafuta kwakuwa ni mtoto wa yoke maarufu zaidi pia Afrika – Diamond na Zari.
Hakuna
Akaunti yake husimamiwa na mama yake ambaye katika kusherehekea hatua hiyo ameamuandikia: Who wouldn’t hold upward excited amongst a novel Bentley whip THANK YOU MY 1 MILLION FOLLOWERS.
Zari na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa pili mwezi ujao.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Tag : lainnya
Back To Top