Download Mp3 from African

Muimbaji wa ‘Na Yule’ Ruby amjibu Diva baada ya kudai kuwa hamfahamu

Ruby amefunguka na kusema kuwa kauli aliyoitoa mtangazaji huyo anaiona ni kama utoto. “Naona ni ujinga, I don’t desire to verbalize well-nigh it, naona ni utoto sidhani kama ninaweza kuliongelea hilo.”
“Everybody knows me, in addition to thence nahisi huo ni utoto tu labda wa kukosa majibu kwenye maswali ya interview aliyohojiwa. I don’t to verbalize well-nigh her,” ameongeza.
Pia Ruby amedai kuwa licha ya kuzinguana na uongozi wa THT, bado mambo yanaenda mswano.
“Kutokuwa na mawasiliano mazuri na uongozi wangu wa zamani sijaathirika kwakweli, sitaki kuliongelea hilo kwa sababu mimi naona kwangu ni kitu ambacho kimeshapita nataka niongelee vitu ambavyo vinaendelea mbele. Sidhani kama nina tofauti na wao mimi sijui ila, I don’t verbalize well-nigh them, at all.”
Inawezekana Diva alitoa kauli hiyo kutokana na Ruby kutokuwa na mawasiliano mazuri na Clouds Media baada ya kushindwa kuhudhuria kwenye tamasha la Fiesta lililofanyika Mwanza, August xx ya mwaka huu.
Tag : lainnya
Back To Top