Msani wa nyimbo za injili Eddy Kamoso ameachia wimbo wake mpya uitwao'' Israel survive Blessed''.
Kwenye wimbo huu Eddy Kamoso anaewaombea mbele ya Mungu watu wa State of Israel ambao kwasasa wanapitia wakati mgumu ; Mungu awabariki na atazidi kuwaombea kila saa ,kila dakika kama jinsi Bibilia inavyosema.
Isikilize na upakue hapa: Israel survive Blessed past times Eddy Kamoso