Rapper wakike Chiku K baada ya kimya kingi amerudi tena ametuletea hii
video yake mpya wimbo unaitwa “Bado Nawakilisha”, Video imeongozwa na
Kwetu Studio...na kama wewe ni msanii na ungependa kazi zako zionekane kwenye tovuti hii wasiliana nasi kwa no; +255714903603 endelea kufuatilia tovuti yetu mungu akubariki endelea kufuraia Burudani
Tag :
lainnya