Download Mp3 from African

New Video | PSquare - Bank Alert | Mp4 Download

PeterBaada ya kuvunjika kwa kundi la P-Square linaloundwa na ndugu wawili,
Peter na Paul Okoye huku kila mtu akifanya kazi kivyake, hatimaye kundi
hilo limerudi tena kwa wasanii hao kuachia video ya wimbo wao mpya ‘Bank
Alert. Tazama hapa chini video hiyo.... na kama na wewe ni msanii na ungependa kazi zako zionekane kwenye tovuti hii wasiliana nasi kwa no; +255714903603
Tag : lainnya
Back To Top