Download Mp3 from African

New Video|Aimé. M. - BODY|Download Mp4

Msani kutoka Republic of Burundi Aime. M ambae kwa sasa makazi yake ni nchini Umarekani(USA) mjini Baltimore Maryland amechia video ya ngoma yake mpya iitwayo ''Body''.
Msani huu ambae pia ni Producer amezijenga headlines nyingi baada tu yakuachia ngoma ambayo alimshirikisha Sat B kwenye kibao kinacho fanya vizuri hadi sasa kitwacho ''Vi maneno''.
Itazame hapa :Body yesteryear Aime M
                                                    
Tag : lainnya
Back To Top