Katika ulimwengu wa mitindo, mlimbwende kupata nafasi ya kushiriki present ya Victoria’s Secret, ni sawa na muimbaji kupewa nafasi ya kutumbuiza kwenye tuzo za Grammy.
Kwa mara ya kwanza, mlimbwende wa Tanzania, Herieth Paul ameungana na walimbwende wote maarufu duniani kwenye present hiyo kubwa, iliyopambwa kwa aina yake na kufanyika jijini Paris, Ufaransa.
Aliungana na warembo maarufu wakiwemo Kendall Jenner, Gigi na Bella Hadid, Alessandra Ambrosio, Adriana Lima, Irina Shayk na wengine.
Herieth Paul (wa saba kutoka kushoto akiwa na warembo wengine wa VS
Herieth Paul akiwa kwenye chumba cha brand up
Tag :
lainnya