Download Mp3 from African

Picha ya Mwimbaji Ben Pol na Snura Wakipigana Mabusu Yazua Maswali


New brace inward Town ndio naweza kusema kulingana na picha hiyo hapo juu ambayo inazunguka mtaani huku wengi wakijiuliza maswali kama ni kweli ama la...? Ikumbukwe Snura alishawahi kuandika na kukiri kuwa kuna Mwanamuziki mmoja wa Bongo Flava anamzimia kishenzi lakini hakumtaja jina...Sasa jibu limepatikana baada ya wawili hao kuonyesha picha wakidendeka bila chenga....
Tag : lainnya
Back To Top