Msanii pia Muigizaji wa filamu kutoka Tanzania, Hemed Suleiman almaarufu kama PHD, aliwasili kwa mara ya kwanza nchini Burundi, Jumanne jioni kwenye uwanja mkuu wa Bujumbura akipokelewa na kundi nzima la waigizaji wa filamu nchini ijulikanayo kama The Brothers.
Mapokezi imekuwa ya kupendeza huku mashabiki zake wakimpokea kwa shangwe na furaha, Msanii pia Muigizaji huyo ameitishwa na kundi la The Brothers kwa kukamilisha filamu yawo ''Burundiano inwards Dar'' aliyo shirikishwa na kundi hiyo pia kwa tamasha itakayo fanyika Decemba , 04 ,2016 kwenye ukumbi wa La Coast Beach.
Tazama hapa namna gani PHD alivyo pokelewa na The Brothers