Download Mp3 from African

Wafuasi wa CUF Wavamia Makao Makuu ya Chama Zanzibar

 MTENDENI, ZANZIBAR: Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar leo wamevamia Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo eneo la Mtendeni visiwani humo wakitaka kufahamu hatma ya maamuzi yao ya Okt 25, 2015, ambapo chama hicho kinadai kilishinda uchaguzi kabla ya kufutwa.
Tag : lainnya
Back To Top