Download Mp3 from African

Walichofanyiana Shilole na Nuh Mziwanda walipokutana kwenye basi la Fiesta

Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda
Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa
kwenye kipindi cha tv set clouds na wamekuwa wakipigana majungu mitandaoni.
Lakini walipokutana kwenye basi Shilole alimuambia Nuh Mziwanda yaishe
na kumwambia yupo kwa ajili yake na kumwagia mabusu mazito, pengine
watarudiana.

Angalia:
Tag : lainnya
Back To Top