Download Mp3 from African

Wolper Na Harmonize Wala Bata Serengeti

WASANII wawili ambao ni wapenzi wanaogonga vichwa vya habari Bongo, Jaqueline Wolper na Rajab ‘Harmonize’ wikiendi iliyopita wamekula bata kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti.

Wawili hao waliondoka Dar es salaam Jumamosi wiki iliyopita na kuelekea Arusha kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi na baadae kuungana na Rich Mavoko pamoja na Raymond Jumatatu ya sikukuu ya Eid (jana)  kwa ajili ya exhibit Mkoani Tanga.


Wolper kupitia instagram aliandika: Asante Raj wangu kwa kunipeleka vacation… nime bask saana Harmonize.

Kwa upande wa Abby ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Tour ambayo iliwapeleka ameandika:

The sense nosotros had together was extremely amazing! I Was together with hence impressed alongside the agency you lot guys grip each other. This left me alongside memories of the entire trip to Serengeti .Thank you lot together with hence much for trusting  Napanda Safaris to conception for your opor-garai .Can’t await for our side yesteryear side plans every bit nosotros discussed together with the preparations has started now!
Tag : lainnya
Back To Top