Download Mp3 from African

Msanii wa bongo fleva Jux adai rahisi kufanya video Afrika Kusini kuliko Bongo,sababu yake ni hii..

Msanii wa bongo fleva Jux amefunguka na kusema kuwa wasanii wengi wanaenda ku shoot video Afrika kusini kwa sababu ya urahisi hasa upatikanaji wa location.
Akiongea kwenye kipindi cha ngaz kwa ngaz kinachoruka kupitia Eatv Jux amedai kuwa kuna place ni ngumu sana kuzipata Tanzania au huwa na milolongo mirefu ukilinganisha na nchi za wenzetu.
Kwa southward Africa kuna advantage,kwa sababu kuna vitu vingi tunaweza tukavipata zaidi,kama unataka ku shoot video jela kwa hapa inaweza kuwa procedure ndefu sana lakini kwa South ni rahisi kidogo
Tag : lainnya
Back To Top