The Citizen, limeripoti kuwa wajumbe wa bunge hilo wamekubaliana kwamba mabadiliko hayo yalikuwa yakisubiriwa sana kwa kuwa lugha hiyo imechukua jukumu kubwa la kuwaunganisha wakaazi wa Afrika Mashariki.
Hatua inayofuata ni kwamba mkataba wa EAC utalazimika kufanyiwa marekebisho .
Hatua inayofuata ni kwamba mkataba wa EAC utalazimika kufanyiwa marekebisho .
Tag :
Afrika Mashariki,
EXCLUSIVES