Download Mp3 from African

Hawa hapa vijana xxx waliochaguliwa kuingia kijiji cha Maisha Plus

Waliochaguliwa kuingia katika Kijiji cha Maisha Plus East Africa 2016 ni jumla ya vijana thirty kutoka nchi za Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda.
 Washiriki wote wataingia kijijini siku ya Jumapili tarehe 4/9/2016 kugombania kitita cha Tzsh. Milioni 30. Burudani yote utaiona LIVE kupitia Azam TV.

Maisha Plus ni nini?

Ni shindano la uhalisia ( Reality Show) ambayo halijawahi kufanyika Afrika mashariki, ni shindano linalo ‘reflect’maisha halisi ya wana East Afrika.
Shindano hili lina jumlisha nchi za Afrika Mashariki :Burundi,Kenya,Rwanda,Uganda na Tanzania.
 Lengo la Maisha Plus ni nini?
  1. Kuwawezesha vijana kujitambua
  2. Kuwapa ujuzi kwa kuwafundisha vitu mbalimbali kupitia semina na mafunzo mbalimbali wanayopewa.
  3. Kuendeleza vipaji vyao
  4. Kuwapa mtazamo chanya wa maisha watazamaji na washiriki.
  5. Kubadilishana utamaduni
  6. Kuburudisha watazamaji.
 African Mishe inawatakia kila la kheri washiriki wote ndani ya Maisha Plus 2016.
Back To Top