“Nina miaka eleven sasa tangu nifunge ndoa na Wahu, naweza kusema kuwa huyu ni mwanamke sahihi kwangu kwa kuwa kila mmoja hakuna ambaye amemtuhumu mwenzake kutoka nje ya ndoa.
“Kupendana kunatufanya kila mmoja kumwamini mwenzake, huu ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine pamoja na vijana wa sasa, lakini wengine wamekuwa wakifunga ndoa na baada ya muda wanaachana,” alisema Nameless.
Tag :
lainnya