Download Mp3 from African

Msanii wa bongo fleva,Harmonize asema amewahi kuwa dereva wa boda boda

Msanii wa bongo fleva,Harmonize kutoka WC ameweka wazi kuwa ameshawahi kujishughulisha na shughuli za kuendesha boda boda.
Harmonize aliyasema hayo kwenye kipindi cha Ngaz’ kwa Ngaz’ kinachoruka kupitia EATV alopulizwa alipata wapi uzoefu wa kuendesha pikipiki kubwa ya BMW wakati ana shoot video yake ya Bado.
Mwaka 2011,mimi nimeshawahi kuwa dereva boda boda,nimeendesha sana pikipiki kwa hiyo nina experience,nilikuwa napakia abiria kujipatia riziki.” alifunguka Harmonize
Tag : lainnya
Back To Top