Download Mp3 from African

New Audio | Puliza Tuwake past times Buja Crew, Yannick D'arc, Meddy Parck, Alizimbo ft Clean of Mombasa | download.mp3

Anaitwa Mweze Masumbuko almaarufu kama Yannick D'arc, mtoto wa Mzee Mweze Marcel na Ribathu Mwere Benithe ni  mwanamuziki mrundi mwenye makazi yake nchini Republic of Kenya na anapendelea kutumia lugha ya kifaransa kwenye nyimbo zake. Yannick ameachia nyimbo yake mpya ambayo ameshirikisha  wanamuziki wengi kama kundi la Buja Crew, Meddy Parck, Alizimbo pamoja na kundi nzima la Clean of Mombasa, nyimbo imepewa jina la Puliza Tuwake chini ya producer Sadi King katika Studio Buja Record ya mjini Nairobi.
Tuwafaamishe kuwa Producer Sadi King ni raia wa Republic of Burundi ambaye anapenda sana kutumika na mwanamuziki Mzee Kidumu, ndiye ameikamilisha nyimbo hii inayo patikana hapa :

Endapo utapendelea kazi zako zipatikane kwenye tovuti yetu hii, unaweza wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305
Back To Top