Wanamuziki wawili kutoka Burundi, Faraja na Goldon Pacher wameachia nyimbo yawo mpya walio shirikiana kwa pamoja itwayo Wakunivutia.
Ni nymbo nzuri ambayo wasanii hawo wa wili wamefanikiwa kukamilisha kazi yao hiyo mpya katika studio maarufu Sounds Record chini ya producer mahiri Sosi Pro ndiyo wameikamilisha nyimbo iwe na mvuto wakuridhirisha kwenye sikio zenu.
Tumejaribu kuwasogezeeni hapa nyimbo hii Wakunivutia ya kwake Goldon Pacher akishirikiana na Faraja
Endapo utapendelea kazi zako zipatikane kwenye tovuti yetu hii, unaweza wasiana nasi kwenye namba +257 75707305
Endapo utapendelea kazi zako zipatikane kwenye tovuti yetu hii, unaweza wasiana nasi kwenye namba +257 75707305