baada ya majambazi kuvamia baadhi ya maduka na kupola na kushambulia na kumpiga risasi sehemu mbalimbali na risasi moja kumpa dada ambaye mke wa kijana mmoja anaetambulika kwa jina la Barida hivyo mkuu wa polisi wa kibaha,kutangaza vita na kuomba wakazi wa mji huo washilikiane bega kwa bega hili kuwapata waalifu hao.
Tag :
lainnya