Msanii Roma Mkatoliki ameelezea kile alichokuwa akipitia wakati anafundisha Shule ya Sekondari Manza Bay iliyopo mkoani Tanga, kabla hajaamua kuacha na kujikita kwenye muziki zaidi.
Roma amesema usumbufu mkubwa aliokuwa akiupata ni kutoka kwa wanafunzi, hasa baada ya kufahamu kuwa ni msanii.
Roma amesema kitendo hicho kilikuwa kinamfanya awe "uncomfortable", lakini aliweza kukabiliana nacho, kwani hata yeye alikuwa mwanafunzi na alikuwa rafiki wa wanafunzi.
Sikiliza hapo chini alichosimulia, utafurahi jinsi wanafunzi walivyokuwa wanamfanyia 'ticher Roma'.

Tag :
lainnya