Download Mp3 from African

Huyu rapa ameingia studio kila siku kwa miaka mitano mfululizo.

Utashangazwa na uwezo wake wa kutoa nyimbo mpya kila siku na nyimbo hizo zinakuwa na video kali, lazima uliwahi kujiuliza hivi Future anafanyaje kazi zote hizi kila wakati ?
Jibu ni kuwa Future amekiri kuwa kwa miaka mitano mfululizo hakuna siku imewahi kupita hajaingia studio kurekodi nyimbo.
Future ameelezea jambo hili wakati anaongelea mafanikio yake kupitia jina lake la ki RockStar la “Future Hendrix,”  nakusema “Nafanya kazi hivi ili niwe na dhamani kubwa zaidi kuliko watu wengine na miaka mitano ijayo muziki wangu utakuwa mkubwa na nitakuwa bilionia“.
Utashangazwa
Tag : lainnya
Back To Top