Msani wakike Ashley Diva kutoka Republic of Burundi ambae kwasasa anazichapa kazi zake za muziki nchini Republic of Kenya mjini Nairobi,anatarajia kujielekeza nchini Republic of Burundi .
Kwenye mahojiana mafupi na African Mishe kuhusu kipi kinacho mpeleka Republic of Burundi ,mrembo huyo alisema :
''Ndio nikweli punde nitajielekeza Republic of Burundi na kuhusu nikipi kinacho nipeleka uko, moja nikwamba nimewamiss ndugu jamaa na marafiki.
Mrembo huu amejijengea umaharufu mkubwa Africa kupitia vyibao vyake vyenye miondoko ya Afro-Pop,nakwasasa anaitwa Queen Of Afro-Pop.
African Mishe inamtakia kila la kheri kwenye kazi zake.
Ashley Diva |
''Ndio nikweli punde nitajielekeza Republic of Burundi na kuhusu nikipi kinacho nipeleka uko, moja nikwamba nimewamiss ndugu jamaa na marafiki.
Pili ninaproject nyingi ambazo nitafanya uko ;nitatengeneza videos za ngoma zangu mbili na nitafanya Shows tofauti nchini humo''.
Alipo ulizwa ni muda gani atakaomaliza uko Diva amesema:''Mengi nitayajua nikifika Burundi, na mashabiki zangu na wapenzi wamuziki wakae mkao wakula kusikiliza na kujionea kazi zangu mpya na ninawapenda sanaa'''.Aliongeza hilo Mrembo Ashley Diva.Mrembo huu amejijengea umaharufu mkubwa Africa kupitia vyibao vyake vyenye miondoko ya Afro-Pop,nakwasasa anaitwa Queen Of Afro-Pop.
African Mishe inamtakia kila la kheri kwenye kazi zake.
Tag :
EXCLUSIVES,
News