Schweinsteiger amekuwa hana nafasi tena kwenye kikosi cha United, baada ya mapema kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuambiwa na kocha wake Jose Mourinho, kwamba hana nafasi tena ya kucheza klabuni hapo hivyo anaweza kuondoka.
Msimu uliopita alikuwa moja ya wachezaji muhimu sana kwa United chini ya kocha Mdachi Louis van Gaal, wakati aliposajiliwa kwa paundi mil xv kutoka Bayern Munich. Bastian ameonekana Cheshire akijifariji na mchezo wa gofu.
Tag :
lainnya