Download Mp3 from African

MOJA KATI YA WATANGAZAJI WANAO UFANYA MUZIKI WA BURUNDI KUSIKIKA KIMATAIFA ZAIDI.

Judie Caelle ni mtangazaji kutoka kwenye kituo kimoja cha Radio nchini Burundi Radio Colombe.Mtangazaji huu ndoto zake nikuuona muziki wa Republic of Burundi umepiga hatua mbele zaidi.

Judie Caelle anavipindi zaidi ya vitatu kwenye radio colombe ambavyo kazi zake nikuzitangaza habari tofauti za wasani wa muziki na Filamu.
Kipindi chake chakwanza kinaitwa ''Buja inwards game'': kipindi hiki cha kiswahili kinawaitia wasani kiujumla kupendana na kua na umoja, kwani siku zote umoja ni nguvu.
Kipindi chake chapili kinaitwa ''Ahabona Moment'': kipindi hiki kinawasaidia wasani kufanya launch zakazi zao kwenye kituo hicho cha Radio Colombe.
Kipindi cha tatu kinaitwa ''Buja Actor '':kwenye hiki kipindi anazungumzia sana kuhusu Filamu na waigizaji .Maranyingi hua anatoa ushauri kwa mastaa wa Filamu wajuwe chakufanya ili watowe filamu bora zaidi kama wengine mastaa barani afrika.
Kipindi cha nne kiko kwenye lugha ya kifaransa kinaitwa ''Qui gagne?|Nani mshindi?|:kwenye hiki kipindi hua anauliza maswali tofauti wasikilizaji wa kituo hicho cha Radio Colombe.
Vipindi vyote hivyo nivyakupromote kazi za wasani nchini humo.
Mtangazaji huu anastahili sifa tele kwenye kazi zake.
African Mishe inamtakia kila la kheri kwenye kazi zake.



Tag : EXCLUSIVES, News
Back To Top