Mwanamuziki kutoka Burundi, Iradukunda Enock akijulikana kwajina la Enock Bower mwenye makazi yake Afrika Kusini, mwenyeji wa Bujumbura tarafani Buyenzi ameachia nyimbo yake mpya itwayo Ntakufata akishirikiana na mwanamuziki mrundi pia ajulikanaye kwajina la Fad Zolo.
Baada ya kutamba na kibao chake Call my Name-Enock Bower kwasasa anazidi kufanya vizuri kwenye ulimwengu wa muziki na ameachia nyimbo nyingine mpya ambayo tumewasogezeeni hapa kwa mara ya kwanza.
Endapo wewe ni mwanamuziki na unapendelea kazi zako zipatikane kwenye tovuti yetu unaweza kuwasiliana nasi kwenye namba +257 75707305 ( whatsapp, imo, vider, telephone telephone ...).