Download Mp3 from African

Zlatan Ibrahimovic aendeleza ubabe wake Ligi Kuu England aipa Man United ushindi dhidi ya Southampton

Ligi Kuu England iliendelea usiku wa August nineteen kwa klabu ya Man United kuwakabribisha Southampton katika dimba lao la Old Trafford kucheza mchezo wao wa pili wa baada ya mchezo wao wa awali kuibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya AFC Bournemouth ugenini.
Ligi
Zlatan lifunga goli la kwanza baada ya kupokea krosi maridhawa kutoka upande wa kulia na Wayne Rooney baadae tena Zlatan alifunga bao la pili kwa njia ya penati baada ya beki wa kushoto wa Man United Luke Shaw kufanyiwa madhambi na Jordy Clasie na mechi hiyo kumalizika kwa Man United kupata ushindi wa 2-0.
Tag : lainnya
Back To Top