Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe akisalimiana na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.Spika wa Bunge amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini Republic of Republic of India alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
Tag :
lainnya