Irene Laura Uwimana alimaharufu kama Iry Tina da Queena ni msani wa kike kutoka nchini Republic of Burundi akifanyia kazi zake za muziki nchini Republic of Uganda mjini Kampala.
Wengi huwa wanajiuliza je Republic of Burundi hamna wasani wakike?
Baada ya kimya kirefu cha wasani wa kike kutoka nchini Republic of Burundi Iry Tina Da Queena amewatisha wasani maaharufu nchini huumo .
Msani huo wakike amezijenga headlines zake nchini Republic of Uganda ambapo ameijenga Studio kubwa ya ku tape music iitwayo Opera Record na Studio hii imewatoa wasani wengi nchini Republic of Uganda .
Akiongea na African Mishe Iry Tina Da Queena amesema:''Ivi punde nitakua nchini Republic of Burundi kufanya launch ya ngoma yangu mpya itakayo achiwa na video niliotengeneza na staa Sat-B akiwa anafanyia kazi zake za muziki nchini Rwanda.''
Mrembo huu mkali wa Dancehall ameongeza tena :''Nipo natengeneza ngoma nyingine na msani mkubwa nchini Republic of Uganda ''Palasso '' mdogo wake na Dr Jose Chameleon ambayo ipo kwenye Albamu yangu iitwayo ''KIGOYAWA''.Kigoyawa ni lugha ya kiganda kwakiswahili ni vitaishia wapi?
Ili ni jambo lakujivunia kwa mashabiki wa muziki nchini Republic of Burundi na East Africa kiujumla kuona staa huu wakike anafanya vizuri nchini na nnje ya Republic of Burundi .
Iry Tina Da Queena imekua ni mfano mkubwa kwa wasani wa kike nchini Republic of Burundi na kuipa heshima nchi hiyo kwenye soko la muziki.
African Mishe inamtakia mafanikio meema mrembo huyo kutoka nchini Burundi.