kama wewe ni mzaliwa wa iringa,mbeya,dodoma,au morogoro na nyanda za juu kusini kiujumla huwezi kukosa kumjua jamaa huyu anae itwa eddo bashir maalufu kama tigger
huyu ndo alie teka masikio ya watu huko nyanda za juu kusini kwa utangazaji bora wenye swaga zaidi na kuchanganya lugha za kibantu (kihehe) eddo nimtangazaji wa mda mrefu sasa katika kituo kimoja cha radio iringa kinacho itwa ebon fm kilichopo iringa mjini na nimtangazaji anae pendwa na vijana na wazee watoto pia wana penda utangazaji wake naswaga zake. unaweza kufatilia vipindi vyake ijumaa na j pili kila wiki.... angalia zaidi picha za eddo bahir
edo akiwa mtaani akisalimiana na baadh ya laiya wa huko maeneo ya ipogolo iringa
eddo akiwa nje ya kituo cha radio anayo tangazia EBON FM
by..Allen chuma
Tag :
lainnya